Sijapenda Lyrics – Wanyabi feat. Baddest 47
Singer: Wanyabi feat. Baddest 47
Title: Sijapenda
Ah Ok ah, wanya wanya
Wanyabiii ahaa, okay okaaay, weee!
(Beats By Cat P) Wede
Yule tembo alo takaga kula kuku na mayai, sijapenda
Rolls Royce ni gari kali la kumiliki dia, sijapenda
Ah! So bure, ni mepigwa kipapai, sijapenda
Yani kisa haja pokea simu nataka zilai, sijapenda
Kiukweli alichonipa cha usiku, sijapenda
Sawa, aliamua kunitunuku, sijapenda
Akatoa huku, akachomeka na kwa huku, sijapenda okeeey!
Tamu, ila alinipa kiduchu, sijapenda
Mie sijapenda! We umependa? Sijapenda
Mmm, au umependa? Sijapenda
Mie sijapenda, we umependa? Sijapenda
Mmm (mm) au umependa? (Sijapenda)
Umepiga beer zangu alafu ukanikimbia eh, Sijapenda
Niliku-DM sasa kwanini umetangazia? sijapenda
Kupata phone ndo walimu unakimbilia eh, Sijapenda
Miniyanga ila Simba kombe kuchukua, sijapenda
Na nikioota nakimbizwa hainyanyuki miguu, sijapenda
Shape kali kumbe kigodoro ndani hakuna kitu, sijapenda
Sawa we muhaya sasa ndo ule senene na beer sijapenda
Eti big nakupenda ila gym zingatia, sijapenda
Mie sijapenda, we umependa? Sijapenda
Mmm, au umependa siajpenda
Mie sijapenda, we umependa? Sijapenda
Mmm (Mm) Au umependa? Sijapenda
Ah! Mjomba unatokaga na yule demu? Sijapenda
Eh hee, wenzako washikwa na wake zao
We utashikwa mpaka baridi itakutoka, sijapenda
Ukizubaa mzee utashindwa mpaka na ngili wewe, sijapenda okeeey
Kushindia ma chips weee alafu baadae utafute nguvu za kiume, Sijapenda
Mie sijapenda, we umependa? Sijapenda
Mmm, au umependa? sijapenda
Follow Wanyabi feat. Baddest …
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Arso Trm - Fenomenal
Stazzy - Братик 2.0
Sijapenda – English Translation
Ah ok ah, warns
Prophecy Ahaa, Okay Okaaay, Weee!
(Beats by Cat P) Wede
The elephant alo Tajaga eat chicken and eggs, I haven’t liked
Rolls Royce is a strong car owner, I don’t like
Ah! SO free, it’s a papai, I don’t like
Yani need Receive call I want Zilai, I haven’t liked
In fact he gave me the night, I haven’t liked
Okay, he decided to spare me, I haven’t liked
He gave here, and was burned with, I did not like Okeeey!
Sweet, but gave me a chill, I haven’t loved
Mie I don’t like! WE ARE LOVE? I haven’t liked
Mmm, or did you like? I haven’t liked
MIE I haven’t liked, we like? I haven’t liked
Mmm (mm) or did you like? (I don’t like)
You have hit my Beer Alfe you told me, I haven’t liked
I-DM Now why you have declared? I haven’t liked
Getting the phone to the teachers rush to eh, I haven’t liked
Miniyanga except lion Cup take, I don’t like
And I dreamed I rushed no feet, I don’t like
Mild shape or kigodoro inside nothing, i haven’t liked
OK WE MUHAYA IS NOW ARE SURE AND BEER I haven’t liked
ETI BIG I love you except Gym Note, I haven’t liked
MIE I haven’t liked, we like? I haven’t liked
Mmm, or have you loved
MIE I haven’t liked, we like? I haven’t liked
Mmm (mm) or did you like? I haven’t liked
Ah! Uncle you come from the demu? I haven’t liked
Eh Hee, your colleagues and their wives
WE will be caught until the cold will come out, I don’t like
Older Older will fail until you have a border with you, I don’t like Okeeey
Kushindia Chips Weee Alfu later search for male power, I don’t like
MIE I haven’t liked, we like? I haven’t liked
Mmm, or did you like? I haven’t liked
Follow Wanyabi feat. Baddest …
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Wanyabi feat. Baddest 47 – Sijapenda
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases