Lyrics Juma Nature – Brother man

Brother man Lyrics – Juma Nature

Singer: Juma Nature
Title: Brother man

Wapo washkaji wengi wana dili za kuunga unga lakini hizi dili ni mradi watafune mpunga
Mzee wa pamba kila siku golini habanduki anafahamu fika kuwa bila hela hanyanyuki
Hukumbuki siku zile tunapiga ndondo vijiweni?
Ulivyokuwa zamani hukuwa unafanya haya na kila ulilokosea kwako uliliona baya

Basi leo tueleze kama unakuponza umalaya na uta (?) ukishapita mwaka huu
Uzi ni ule ule unichukie mpaka udate
Ukirudia rudia tena nisikuone unaniomba mkate
Mkate ni ushauri wanaotoa watu wachache

Mbembeleze mshkaji akileta ubishi muache na kwenye dili zetu mshkaji naomba asitufate
Kwani nimefanya nini washkaji mbona mnani ziba ridhiki
Ridhiki si ridhiki mjomba unatengeza dhiki unashinda nyumbani mpaka (?) anakuchimba biti
Tushakufichia siri ndugu yangu tushaanza kuchoka kwanza dharau kwa wakubwa na mdogo yeyote yule

Matusi kwako (?) kwa ajili ya vihela vyako vya kwenda kubadilisha mboga’ kama shoga
Kidogo juzi ufumwe unamchungulia mke wa mtu’ na wakati unajua sumu
Naona sasa maisha hivi sasa anayachezea na pengine (?) kujifanya anasema wenzake
…Aaaah, kama vipi vipi mshkaji tumchukulie

Dunia ni kama kamba kwenye gorofa ikakatika’ na kuacha walioicheka wakiwa wamekasirika
Nikisema habari, we sema kwenye kazi sichezi
Nikisema ugali, we sema kuacha siwezi
Haya haya haya haya kuzunguka ndo kwenye kwa wale watu wa Tanga ningependa mseme heye

Kumwacha mshkaji awe anajisema mwenyewe akiacha (?) na akishindwa ataacha
Acha u-Brotherman >> Brotherman
Kwanza fanya kazi >> Fanya kazi Ukishapata kazi ( Sometimes like this- )
Ndio uanze u-Brotherman >> u- Brotherman

Acha u-Brotherman >> Brotherman
Kwanza fanya kazi >> Fanya kazi Ukishapata kazi ( Sometimes like this- )
Ndio uanze u-Brotherman >> u- Brotherman
Yo, Majani waache waseme nadhani’ wakishindwa watanuna

“Yaani wanawake wana kula tu wanavaa basi na kupiga mizinga ukimnyima aseme unaringa”
Sasa huo si ujinga babu unatafuta sababu mbona washkaji Freedom Camp wanauza mitumba na mbona kina (?) wana change mavumba
Maisha yatakushinda utajiona unacheza mkinda usikate tamaa maisha ni kugangama na ndio maana umezaliwa mwanaume yaani ina maana ujitume
Sio (?) be boss tu boss (?) sogezeni tofali nanyie mpate kusikia anavyofanya mshkaji bro asiyesikia

Jifunze ujanja achia njia tukufundishe haraka mtoto usibishe
Baby baby baby
Sikuhizi shibe na wazazi wako wale washibe ukishindwa shamba mwanaume ukipata utatamba
Mwenendo wa Bu(?) mashairi yangu hayana chuki mwanaetu unapotea mshkaji wala ushituki

Unatamani vikubwa na wakati huna uwezo navyo ndo maana nimewaita washkaji waje tu-discuss kwa ajili yako mshkaji unayepoteza wakati
U-Brotherman tabia na si uzuri wa mavazi ‘fanya kazi
Si lazima uajiriwe wapo wengi tusio ajiriwa wote (?) tunasaka tunatafuta uzima na baraka
Likija dili tu twika mchanga ( Mwake )

Likija dili tu tuuze mtumba ( Mwake )
Na hata likija dili la kwenda kuuza samaki utakuja shangaa hakuna mtu maskani amebaki’ utabaki pekee yako
Unajenga, unabomoa?
Unafurahisha, una tuboa?

Chakarika unazubaa nini mwanaume unataka ki-mini haya cha nini?
Mshkaji kuwa makini >> Wewe
Acha u-Brotherman >> Brotherman
Kwanza fanya kazi >> Fanya kazi Ukishapata kazi ( Sometimes like this- )

Ndio uanze u-Brotherman >> u- Brotherman
Acha u-Brotherman >> Brotherman
Kwanza fanya kazi >> Fanya kazi Ukishapata kazi ( Sometimes like this- )
Ndio uanze u-Brotherman >> u- Brotherman

Yo! Sir Nature, Wouddap?
Kama kawaida makamuzi yale yale babake >> mpaka kunakucha…
Ausio?
Enhe’ ngoma ishanyepa imeondoka juu kwa juu ausio bwana

Yeah, u-binadamu kazi, ah
One time for Juma
Uh huh, uh huh
W-W- uh huh- W-

Wanaume!
Uh huh
Rori rori rori rori rori wi ( Haha )
Rori wi, rori wi, rori wi, Wanaume Family rori wi

T.M.K. for real man ( Haha )
Kama kawaida baba
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Jala Brat - Neću stat
Fear$xme & AT.End - Улыбка

Brother man – English Translation

There are many hackers who have a meal deal but these deal is the project to chew on rice
The cotton Elder every day the golf course is aware that without the money
Don’t you remember in those days we hit the cow in the countryside?
As you were in the past you were not doing this and everything you did wrong to you you saw bad

So today tell us if you are pulling you prostitution and bow () as you pass this year
Yarn is the same as hate me until udate
If you repeat it again I don’t see you ask me for bread
Bread is advice that gives a few people

Make a joke when he brings a controversy to stop and to our deal the joke please not to follow us
What have I done to the hackers why do you have to be satisfied
Patients are not satisfying uncle you make distress you win home until (?) Digs you a bit
We have secretly hidden my brother we will start to bore the scorn of the older and the youngest

Insults to you (?) For your goals to go to change vegetables’ like gay
Little recently you are looking for a man’s wife ‘and when you know toxicity
I see now life is now playing and perhaps (?) Pretending to say his colleagues
… aaaah, how about how can we take him

The world is like a rope on the flat and breaks’ leaving the laughs in anger
When I say the news, we say at work I don’t play
If I say porridge, we say stop I can’t
THESE ARE THESE THESE THESE ARRIVAL

Leaving the joke to say herself leaving (?) And if she fails she will stop
Stop U-Brotherman >> Brotherman
FIRST WORK >> WORK Once you get a job (sometimes like this-)
Yes start u-brotherman >> u-brotherman

Stop U-Brotherman >> Brotherman
FIRST WORK >> WORK Once you get a job (sometimes like this-)
Yes start u-brotherman >> u-brotherman
Yo, leaves let them say ‘if they fail they will

“That is, women just eat they wear bus and hit the tanks if you deprive him of saying you are going to say”
Now that is not ridiculous grandfather is looking for why why are the hackers freedom camp
Life will defeat you you will see yourself playing Mkinda don’t give up life is a break and that’s why you were born a man.
Not (?) Be boss just boss (?) Move the brick and you can hear how he does the hearing bro

Learn the trick and let the way teach you quickly the baby
Baby Baby Baby
This day and your parents will fail if you fail the male field if you get it you will crawl
BU (?) My poetry does not hate our son when you are lost to a joke or a thief

You crave a lot and when you are not able and that is why I have called the hackers to come just-discuss for your loss of time
U-Brotherman character and not the beauty of the dress’ work
You do not have to be hired by many of us who are not employed (?) We seek to seek life and blessing
When it comes to the dwarf (his)

When it comes just sell us (his)
And even when it comes to selling fish you will be surprised no one is the Tabernacle ‘will remain alone
Do you build, demolish?
Are you happy, you have a pier?

What do you want to do?
The joke be careful >> you
Stop U-Brotherman >> Brotherman
FIRST WORK >> WORK Once you get a job (sometimes like this-)

Yes start u-brotherman >> u-brotherman
Stop U-Brotherman >> Brotherman
FIRST WORK >> WORK Once you get a job (sometimes like this-)
Yes start u-brotherman >> u-brotherman

Yo! Sir Nature, Wouddap?
As usual the same decisions >> until it is …
AUSIO?
Enhe ‘Dance Ishanyepa has gone up to the top of the Lord

Yeah, u-human work, ah
ONE TIME FOR JUNE
Uh huh, uh huh
W-w- uh huh- w-

Men!
Uh huh
Rori rori rori rori rori wi (haha)
Rori Wi, Rori Wi, Rori Wi, Men Family Rori Wi

T.M.K. FOR REAL MAN (HAHA)
As usual the father
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Juma Nature – Brother man

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases