Graduation Lyrics – Wakadinali
Singer: Wakadinali
Title: Graduation
Our graduation day
We shall be graduating
It’s gonna be a whole event bro
It’s gonna be something very interesting
So only two thousand
More than two thousand is too much
Ata tulikuwa tumeweka soo tatu
Nikaambiwa, “don’t be ridiculous”
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
If the product is clean
My lips go numb
I hope my team will meet demand
Sipping tequila niko pale Milan
Usibonge na pigs hiyo sare, haram
Nakuja Uganda can’t wait to learn
Hii ni banger you can’t wait to cram
Goshodo anadai anakuja kuhang
Nikamsho ukikuja weh kuja ukirun
Si sisi huchafua na venye si huwanga tumeng’ara
Mpoa hakuna cha forеplay hapa
Ah ah weh kuja kama umejidara
Naibonda itarudi kwa garage
Usibongе mbaya utajiembarass
Mutura na mara purura kwa barabara
Ah hii ni Africa man usitubebe vilight
Tuligraduate kutoka kwa cream
Siku hizi tunapiga mawhite
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
For sure for sure
Wuzu is a tool of destruction
Duke of Eastlando
Fry de mandem kiuramtons
Isend resend isiende
Nishareset nangos
Nandos najitreat mangoes
Design nitakukill kiufashion
Utaskia Mungaree pewa sap
Ju story ka ni guap mulahree ako sawa
Wuod baba zile za kiajab
Venye akigawa nyap ngunaree
Kwake kawa
Dubstep kila step dub na adabu
Power nap ju ya net kama power tab
Piga gulp graduate hadi huku Gulf
Nananananaaa
Still I’m living my dream
Nataka benzo na beamer
Watch your talking nanii
Naeza kubuyia kwa Benz na un#z#ma
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabudah ni congratulations
Finally mabudah leo ndio graduation
Mmemaliza
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Bigup mabuda leo ndio graduation
Mmemaliza
Yo, yo, yo
It’s a new era hadi hepa inateta
Gede hakuna tutachomaje hater
Si velah ndio ilivuta mbleina
Kesi complicated iteni Ombeta
Savage ka 21
Nilijipata Indah before graduation
Mnabanja banja sana
Me ndio Weta
Shikanishwa ka corridor ya lapsset
Cadet alitumwa hadi kwa casket
Mulikisha ka tungsten
Wako wa sahi atageuzwa past tense
Take a shower rudi kwa market
Usiwahi onyesha dame wako kwa gang
Tunafix matteree
Easter me na jeshi tunaifanyanga Christmas
Huku East tunaslang hatutaki za freelance
Kama bado mimi na weh
It will only be two thousand
Put that up please make sure you
Get yourself a ticket
If we put it to two thousand
Because again we want a manageable crowd
And we want people to have a good time
It has to be something organised
Si ati mkiamka mnanuka mauvundo
Ahh ahh ah ah…hiyo haiwezi
Haiwezi hiyo haiwezi
Inaweza haiwezi?
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Ramzes - Wszystko już za mną
Ledoc_mc - Perdu
Lyrics Wakadinali – Graduation
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases