Lyrics Wizz Jupiter – Pekecha

Pekecha Lyrics – Wizz Jupiter

Singer: Wizz Jupiter
Title: Pekecha

Me Nna Jeuli Kisa We Najiona Mbawa
Hello Hello Ukubwa Dawa
Pangwa King Queen Mambo Sawa
Ebo Ebo Wapambe Chawa

Nahisi Kufika Mwenzangu Bado Isee
Ulivoning’ang’ana Nusu Nife Hii Leo
Hako Karangi kanafanya nsichoke mama weee
Solo

Usinishushe thamani niwe makombo
Unapokiss lips kama katoto
Yananifika kimo maji ya shingo
Momy, Dolo

Usinilaze usingizi wa pono
Unavonicheki kwa jicho chongo
Usinishushe daraja niwe ndondo
Basi we ndo unai (Pekecha)

Akili yangu (Pekecha)
Umeikunja kunja (Pekecha)
Moyo wangu (Pekecha)
Umeufunga funga (Pekecha)

Ulivoikamata (Pekecha)
Ifinyie kwa Ndani (Pekecha)
Anh Unanivuruga (Pekecha)
Na Michezo yako Kitandani

(Pekecha)
Napenda unavozamisha zamisha
Baby unavokatika katika
Kiuno unavozungusha zungusha

Chini unavofunika funua maua
Nami kwako zoba
Baharini naelea kama boya
Singida, Dodoma

Kababyfacе utazani umecholwa
Basi unavopika Napakua
Unavofunika Nafunua
Unavoanika Naanua

Na Unavosafisha Nachafuaa
Solo
Usinishushe thamani niwe makombo
Unapokiss lips kama katoto

Yananifika kimo maji ya shingo
Momy, Dolo
Usinilazе usingizi wa pono
Unavonicheki kwa jicho chongo

Usinishushe daraja niwe ndondo
Basi we ndo unai (Pekecha)
Akili yangu (Pekecha)
Umeikunja kunja (Pekecha)

Moyo wangu (Pekecha)
Umeufunga funga (Pekecha)
Ulivoikamata (Pekecha)
Ifinyie kwa Ndani (Pekecha)

Anh Unanivuruga (Pekecha)
Na Michezo yako Kitandani
(Pekecha)
Isimamie dede kama ndege

Kwanza Guu tende hilo tege
Cheki jicho lege kanywa mbege
Usifanye nicheke nikuone pembe
Isimamie dede kama ndege

Kwanza Guu tende hilo tege
Cheki jicho lege kanywa mbege
Usifanye nicheke nikuone pembe
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
i61 - Специи (Spices)
YNGKID - Suche Dich

Pekecha – English Translation

Me NNA JEU WE I FIND THE WANTS
Hello hello size medicine
Panged King Queen similar things
Ebo ebo

I feel coming my colleague
Ulivoningona half this day
No kauta kanango do nsichoke weee
Solo.

Don’t bring me worth it is crumbs
When you race lips as a cater
They arrive at the neck of the neck
Momy, dolo.

Don’t eat a pono sleep
Unvonicheki to the eyeball
Don’t bring me the grade to be boxing
Then WE ABOVER YOU ‘

My mind (twist)
You have hit them up (twist)
My heart (twist)
You have shut down (twist)

Did you cease (twist)
Ifinyie in the inside (twist)
Anh you are confused (twist)
And your games in bed

(Twist)
I would like you to abandon me
BABY YOU ARE INCLUDED
Waist you roll around

Down to cover the flowers
And to you Zoba.
Marine i float like a boy
Singida, Dodoma.

Kababyfacе Votally Draw
Then you woven to download
You cover I reveal
Available bya.

And you cleaned me
Solo.
Don’t bring me worth it is crumbs
When you race lips as a cater

They arrive at the neck of the neck
Momy, dolo.
Usiilazе a ponon sleep
Unvonicheki to the eyeball

Don’t bring me the grade to be boxing
Then WE ABOVER YOU ‘
My mind (twist)
You have hit them up (twist)

My heart (twist)
You have shut down (twist)
Did you cease (twist)
Ifinyie in the inside (twist)

Anh you are confused (twist)
And your games in bed
(Twist)
Isimamie Dede as a bird

First foot to go that tege
Check eye Lege Mbege
Don’t make me laugh at seeing you
Isimamie Dede as a bird

First foot to go that tege
Check eye Lege Mbege
Don’t make me laugh at seeing you
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Wizz Jupiter – Pekecha

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

https://www.youtube.com/watch?v=jD0kJkq5zlM