Lyrics Billnass – Tatizo

Tatizo Lyrics – Billnass

Singer: Billnass
Title: Tatizo

Sio, sio kwamba mi nina wivu hivyo
Ila tatizo kwamba ulileta maringo
Ukashindwa geuza shingo
Sababu sikuwa na mingle

Ukanikana mbele ya wana ukaleta mazingzong
Kule, Kinondoni Moscow, life changamoto
Ughetto moja local, unadai ilivyo joto
Mapenzi kweli nyoso, ukaniacha kwenye msoto

Ukataka toka na vibopa (Masonko)
Nikakosa pambio, mtoto wa ghetto
Ukanifanya mpaka nikaonekana mental
Pindi nadanda danda mambo hayajasettle

Si ulitaka taka mali
Na mengine visizo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali

Si ulitaka taka mali
Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukar kae mbali

Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo

Naskia stori kibao, mama walo kibao
Na wenye hela kibao
Sa mbona umeachana nao, hao walionizidi kete
Nilivovisha kete naskia we ulicatch

Unataka tu mabeste haiwezekani eeh
Hatuwezi hata kumeet, unataka kurevenge
Hapana mama siwezi
Najua we una myo pia we una nafsi

Ulinipenda ila ulishindwa tu kubaki
We una moyo pia we na nafsi
Mahitaji yako sikutimiza kwa wakati
Ulitaka taka mali

Na mengine visizo na hali
Ndo sababu haukuenda mbali
Na mi rudi na hizo mali
Ulitaka taka mali

Ukaniona choka mbaya
So ukiniona mimi tena
Naomba ukar kae mbali
Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya

Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Mpya…mpya…

Tatizo ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Na reason ni kwamba, nimeanza na ukurasa mpya
Tatizo, tatizo, tatizo, Tatizo, tatizo, tatizo
Dada tatizo
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Sech - 42 Album
LUM!X, Mokaby, D.T.E, Gabry Ponte - The Passenger (LaLaLa)

Tatizo – English Translation

Not, not that mi am jealous so
Except the problem that brought the Maringo
Failed to turn the neck
Cause I didn’t have a mingle

Fell me before they have brought mazingzong
There, Kinondoni Moscow, Life Challenge
One Local Ughetto, demanding the heat
Funny Nyoso, dropped me on the morning

You wanted from the VIBOPA (Masonko)
I missed the pambio, a ghetto baby
You made me until I seemed mental
Once Nadanda Danda Things Honajasettle

Not wanted to want property
And other non-conditions
Ndo Reason didn’t go away
And Mi Back and those assets

Not wanted to want property
You saw me a bad lot
SO If you see me again
I ask ukar kae off

The problem is that, I have started with a new page
And Reason is that, I have started with a new page
Problem, problem, problem, problem, problem, problem
Sister problem.

Naskia Stori tablet, Walo Woman
And across the tablet
SA why you left them, they were more dice
I invoked the naskia we you ulil

Just want the bustle impossible eeh
We can’t even kumeet, you want to kurevenge
No Mom I can’t
I know we have my way too we have a soul

You loved me but you just failed to remain
WE’RE HEART WE AND SPEN
Your needs did not fulfill in time
You wanted to want property

And other non-conditions
Ndo Reason didn’t go away
And Mi Back and those assets
You wanted to want property

You saw me a bad lot
SO If you see me again
I ask ukar kae off
The problem is that, I have started with a new page

And Reason is that, I have started with a new page
Problem, problem, problem, problem, problem, problem
Sister problem.
New … new …

The problem is that, I have started with a new page
And Reason is that, I have started with a new page
Problem, problem, problem, problem, problem, problem
Sister problem.
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Billnass – Tatizo

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases