Usihukumu Lyrics – Daz Baba
Singer: Daz Baba
Title: Usihukumu
Chorus:
Usi hukumu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
Disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
Sure’ ah…aah…aahaa…
[ Watu wanaishi vipi
Bora ukinielewa…
Verse 1:
Ukisikia’ kwanza fuatilia, ukishajua Ndipo uchukue hatua
Usipende kuhisi zaidi ya kudadisi, haifai kumuita mtu wa mola, ibilisi
Masela wangu wapo’ jela kitambo, wanalalamika uswazi hawajafanya mambo
Hawajui lini milango itafunguka, wasio na hatia waweze toka
Adui au rafiki hadi sasa hajulikani, vipi mwanadamu achukue sheria mikononi
Hata tukiulizana yupi anaeongoza kwa mema, usiku na mchana tutakesha’ hatutamuona
Chorus:
Usi hukumu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
Disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
Sure’ ah…aah…aahaa…
[ Watu wanaishi vipi
Bora ukinielewa…
[ Maisha mafupi
Verse 2:
Wote tumezaliwa’ dunia tumeikuta, yote hatutaimaliza, tupo njiani tunapita
Usimdharau yule usiyemjua kwani baadaе anaweza akakusaidia
Usimhukumu yeyote yulе’ kwa ajili ya mavazi yake
Usimshutumu yeyote yule’ kwasababu ya makazi yake
Kama mmekoseana mueleweshane, isiwe sababu mbali mfikishane
Maisha ni matamu lakini ni mafupi, na wote hatujui hukumu yetu saa ngapi
Chorus:
Usi hukumu mwenzako bila ya kujua, utakuwa unakosea
Disa’ kwani wote tumeletwa na mwenyezi’ chini ya jua
Sure’ ah…aah…aahaa…
[ Watu wanaishi vipi
Bora ukinielewa…
Outro:
Tusihukumu wachanga, yeah! Hawajui wanapo kwenda
Un-huh!
Daz Nundaz, Sewa Side, [?], Majani, tufate haki, ausio?
Yeah, Mon!
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Atiye - Korkma
lil Goblo - America
Usihukumu – English Translation
Chorus:
Neither your colleague judgment without knowing, you will be mistaken
DISA ‘For we are all brought by the Almighty’ under the sun
Sure ‘ah … Aah … Aaha …
[How do people live
Better you understand me …
VERSE 1:
If you hear ‘first follow up, when you know that you take action
Don’t like to feel more likely, it should not call someone of Mola, the devil
My Masela is’ jail morning, complaining the swap they have not done things
Don’t know when doors will open, innocent they can come out
Enemy or friend so far unknown, how can man take the law in the hands
Even if we say what he leads to good, night and day we will look “we will not see him
Chorus:
Neither your colleague judgment without knowing, you will be mistaken
DISA ‘For we are all brought by the Almighty’ under the sun
Sure ‘ah … Aah … Aaha …
[How do people live
Better you understand me …
[Short life.
VERSE 2:
All are born ‘the world we found, all we will not finish, we’re on my way
Don’t despise the one you don’t know for after later she can help you
Don’t judge anyone yulе ‘for her dress
Do not condemn any ‘because of its settlement
If you have been misled, there should be no reason.
Life is sweet but is short, and all we don’t know our judgment at
Chorus:
Neither your colleague judgment without knowing, you will be mistaken
DISA ‘For we are all brought by the Almighty’ under the sun
Sure ‘ah … Aah … Aaha …
[How do people live
Better you understand me …
Outro:
Let us not judge the young, yeah! They don’t know where they go
Un-huh!
Daz Nundaz, Sewa Side, [?], Leaves, tufate right, Ausio?
Yeah, Mon!
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Daz Baba – Usihukumu
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
https://www.youtube.com/watch?v=WIW2FTRgTXM