JIKUBALI Lyrics – Devotha Severian
Singer: Devotha Severian
Title: JIKUBALI
Wewe ndugu wewe wewe mpendwa wewe
Mungu amekuumba kwa mfano wake Anajivunia kuwa hivyo ulivyo
Dunia nzima uko pekee yako ni wathamani Mbele zake Mungu jikubali
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Hata kama wanadamu wanakudharau
Jikubali
Wewe ni mbarikiwa wewe
Jikubali
Uwe mrefu mfupi wewe
Jikubali
Unafanya biashara ndogo au kubwa
Jikubali
Hata kama haujapata elimu wewe Jikubali
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Jikubali baba jikubali
Jikubali
Jikubali mama jikubali
Jikubali kaka jikubali
Jikubali wewe dada jikubali
Wewe ni mbarikiwa wewe
Jikubali
Kwanini ujikatiе tamaa
Kwanini uvunjike moyo
Akuonavyo Mungu sio kama wanadamu Mawazo yake Mungu siku zote ni mеma
Hivyo ulivyo unaweza kuwa vyovyote
Kwake Mungu yote yanawezekana
Unaweza kuwa tajiri unaweza
Kuwa raisi unaweza
Kuwa mbunge unaweza
Kuwa waziri unaweza
Wewe jikubali unaweza
Jikubali unaweza
Usijikatie tamaa unaweza
Jikubali unaweza
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Hata kama wanadamu wanakudharau
Jikubali
Wewe ni mbarikiwa wewe
Jikubali
Uwe mrefu mfupi wewe
Jikubali
Unafanya biashara ndogo au kubwa
Jikubali
Hata kama haujapata elimu wewe
Jikubali
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Jikubali wewe dada jikubali
Jikubali
Wewe ni mbarikiwa wewe
Jikubali
Usisikilize maneno ya wanadamu
Wanakukatisha tamaa na kukuvunja moyo
Wanachotaka wao ni kukurudisha nyuma Furaha yao nikuona umeharibikiwa
Wanachotaka nikuona hausongi mbele
Ng’ang’ana na yesu usirudi nyuma
Huku ukiamini kwamba unaweza
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Hata kama wanadamu wanakudharau
Jikubali
Jikubali baba jikubali
Jikubali
Jikubali mama jikubali
Jikubali
Hivyo ulivyo jikubali
Jikubali
Jikubali kaka jikubali
Jikubali
Jikubali dada jikubali
Jikubali
Kwa hiyo rangi yako wewe
Jikubali
Jikubali jikubali
Jikubali mama jikubali
Jikubali
Wewe ni wathamani mbele zake Mungu Jikubali
Hata kama wanadamu wanakudharau
Jikubali
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Oiro - Hände
Takeoutthetrash - Credit cards
JIKUBALI – English Translation
You you you dear brother you
God has created in his image so that you are Boasts About
Worldwide’re alone is worthy of his front’s approval
You are worthy before God Jikubali
Even if men are contemplated
Jikubali
You are blessed you
Jikubali
Be long term you
Jikubali
You’re doing a small business or large
Jikubali
Even if you have not found education Jikubali
You are worthy before God Jikubali
Jikubali father Jikubali
Jikubali
Jikubali either accept
Jikubali brother Jikubali
Jikubali you sister Jikubali
You are blessed you
Jikubali
Why ujikatiе disappointed
Why not be discouraged
Akuonavyo God is not like man in his thoughts are always mеma
So you are you can be any
To God all things are possible
You can be rich you can
Being president can
Being an MP can
Minister can
You admit you
Jikubali can
Usijikatie desires can
Jikubali can
You are worthy before God Jikubali
Even if men are contemplated
Jikubali
You are blessed you
Jikubali
Be long term you
Jikubali
You’re doing a small business or large
Jikubali
Even if you have not found education
Jikubali
You are worthy before God Jikubali
Jikubali you sister Jikubali
Jikubali
You are blessed you
Jikubali
Do not listen to the words of men
Wanakukatisha desire to discourage you
What they want they are getting you back behind them realize the joy has been distorted
What they want realize the not go anywhere
Jesus struggled and never go back
While you believe that you can
You are worthy before God Jikubali
Even if men are contemplated
Jikubali
Jikubali father Jikubali
Jikubali
Jikubali either accept
Jikubali
So you are Jikubali
Jikubali
Jikubali brother Jikubali
Jikubali
Jikubali sister Jikubali
Jikubali
So your colors you
Jikubali
Jikubali Jikubali
Jikubali either accept
Jikubali
You are worthy before God Jikubali
Even if men are contemplated
Jikubali
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Devotha Severian – JIKUBALI
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases