Ntampata Wapi Lyrics – Diamond Platnumz
Singer: Diamond Platnumz
Title: Ntampata Wapi
Clever Touch
Wasafi…
Sura yake m’taratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo la’ke mahbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu ukaribu
Bado namumbuka sana
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali
Darling
Akatewa na wale
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafuta tukale
Ila wala hakujali
Darling
Ah ah…
Ntampata wapi
Kama yule
Niliompendaga sana
Ntampata wapi
Kama yule
Unanipenda sana
Ntampata wapi
Kama yule
Niliompendaga sana
Ntampata wapi
Kama yule
Unanipenda sana
Ah
Ah, nyota
Nyota ndo tatizo langu
Eh, nyota
Hadi nalia peke yangu
Ah, nyota
Nyota ndio shida yangu
Nyota
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba garri (garri)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali
Darling
Akatewa na wale
Alionifanya silali (eh)
Jua kali (eh)
Nitafuta tukale
Ila wala hakujali
Darling
Ah ah…
Ntampata wapi (oh, wapi)
Kama yule (eh)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana)
Unanipenda sana (eh…)
Ntampata wapi
Kama yule (napenda sana)
Niliompendaga sana
Ntampata wapi (napenda sana)
Kama yule (oh, sana)
Unanipenda sana (e…)
Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala
Bado ananijia ndotoni (bado)
Kila nikimka simwoni (bado)
Bado ananijia nkilala (bado)
Haki ya Mungu si o masiala
Yo, Touch Clever (bado)
Hii ni Sauti wa Raisi (bado)
Ilomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu si o rahisi
Na wambie (bado)
Lazima ujue kutofautisha (bado)
Kati ya msalaba na jumlisha (bado)
Kuna X ya kuzidisha (bado)
Ni cheche
Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu si o masiala
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Польнарефф - Утиль
Pit Baccardi - Né pour prouver
Ntampata Wapi – English Translation
Clever Touch
Clean …
Its chapter
With shameful eyes
Forget I try
But I remember him very much
La’ke’s shape
In the disease he treated me
My secret proximity
I still remember him very much
He made me Singer (eh)
The hot sun (eh)
Find me to eat
But he didn’t even care
Darling
He was treated by those
He made me Singer (eh)
The hot sun (eh)
I will look for it
But he didn’t care
Darling
Ah ah …
Where do I find him
Like the one
I loved her so much
Where do I find him
Like the one
You love me so much
Where do I find him
Like the one
I loved her so much
Where do I find him
Like the one
You love me so much
Ah
Ah, stars
The star is my problem
Eh, stars
Until I cry alone
Ah, stars
The stars are my problem
The stars
They have surpassed my colleagues
Was deceived by those (those)
Money Money Garri (Garri)
Mi Kapuku didn’t care (Jali)
He ran away from me
Was deceived by those (those)
Money Money Garri (Garri)
Mi Kapuku didn’t care (Jali)
He ran away from me
He made me Singer (eh)
The hot sun (eh)
Find me to eat
But he didn’t even care
Darling
He was treated by those
He made me Singer (eh)
The hot sun (eh)
I will look for it
But he didn’t care
Darling
Ah ah …
Where do I find him (oh, where)
Like the one (eh)
I loved her so much
Where do I find him (I love it so much)
Like the one (oh, very)
You love me so much (eh …)
Where do I find him
Like the one (I like it so much)
I loved her so much
Where do I find him (I love it so much)
Like the one (oh, very)
You love me so much (e…)
Still coming to me in a dream (still)
Whenever I wake up I don’t see (still)
He still comes to me (still)
GOD’S RIGHTEOUSNESS IS NOT O MASIS
Still coming to me in a dream (still)
Whenever I wake up I don’t see (still)
He still comes to me (still)
GOD’S RIGHTEOUSNESS IS NOT O MASIS
YO, Touch Clever (Still)
This is the voice of the President (still)
It won the devil (still)
To man is not o simple
And tell them (still)
You must know to distinguish (still)
Between Cross and Pilot (Still)
There is a multiplied (still) X
It’s a spark
He is still coming to me
GOD’S RIGHTEOUSNESS IS NOT O MASIS
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Diamond Platnumz – Ntampata Wapi
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases