JISHAUWE Lyrics – Dr Xolly
Singer: Dr Xolly
Title: JISHAUWE
Melicksounds mbaba
Iiiiihhhh…wowowooooowaaah..
Bwanaharusiiiiiiiiiiiii…habari gani today?
Heeeey…
Wakitunisha vigodoro, we waongezee na mashuka…
Manake kuna mungu alichokupa…{hiiiiii}
Kiuno bila mfupa, namba 8 isiyo na moja wala nukta…
Na mabutubutu yako mama kilioni…
Mabusubusu yako ya shingoni..
Nusunusu nakufa niko lindoni…{iiiiiihhh}
Mtukutu wa mapenzi na sikomi…{wayaaaaaah}
Heyy..uno motor motor mama kama dainamo…{hee}
Ukiyachota maji nami naipamo…
Na ukiyakokota hakuna kinachobakiamo…{hee}
Kina kirefu nimeshakizidi kimo…
Nitawachoma miba kama nungunungu yeeh…
Wewe ndicho alichonipa mungu yeeh…
Kama makofi nitapiga na marungu yeeh…
Nitakulinda mindo sungusungu yeeh…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hata ukitupia tupia nguo la gunia…
Likiwa na vumbi ila bado unanukia…
Mama mia nia imeshawadia…
Unanilewesha bila kunywa hata bia…
Kanyagia ile gia kama motorcycle…
Huna makuzi ya kujikuzisha tittle…
Ule ujuzi kunichezeshaga kwaito…
Nashikwa hisia kila muda ufikapo…
Wa kwichi kwichi nipe..
Mama tuki-kuch kuch rote…{enhee}
Juu na chini ikite…
Nyama mbichi zigusane zote…
Nitawachoma miba kama nungunungu yeeh…
Wewe ndicho alichonipa mungu yeeh…
Kama makofi nitapiga na marungu yeeh…
Nitakulinda mindo sungusungu yeeh…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Hapo ulipo mama basi jishauwe inahuuu…
Basi jishauwe…
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
slchld - two faced
NDS Flava, GXRY - Back 2 Back
JISHAUWE – English Translation
Melicksounds Mbaba.
IIIIIHHHH … Wowowoooooaah ..
Lordhuriciiiiiiiiiiii … How about today?
Heeeey …
Synchronizing the vigodoro, we add them to the sheets …
Manake there is a God that you gave you … {hiiiiii}
Waist without bone, number 8 without one or dot …
And your mother’s mothers …
Your necklaces of the neck ..
Njunusa I Death Niko … {iiiiiihhh}
Funny and I’m not … {Wayaaaaah}
Heyy..uno motor mother like dainamo … {hee}
If you draw water to me …
And if you pick it nothing that does … {hee}
Extreme has exceeded the …
I’ll burn the thorns as a nongunungu yeeh …
You are what God has given me.
If the blows will hit with the Yeeh …
I will protect Minds Sungusungu Yeeh …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
Even throwing a sackcloth …
With dust but you still have …
A hundred mothers interested …
You send me without drinking even beer …
Kanyagia that gia like motorcycle …
You don’t have the growth of the tittle …
The skills kunichezeshaga kuni …
Nashikwa feeling every time you are …
Of the lineage to give me ..
Mama Tuki-Kuch Kuch Rote … {Enhee}
Up and down …
Raw meats face all …
I’ll burn the thorns as a nongunungu yeeh …
You are what God has given me.
If the blows will hit with the Yeeh …
I will protect Minds Sungusungu Yeeh …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
When you are the mother then you are killing …
So be …
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Dr Xolly – JISHAUWE
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases