Legacy Lyrics – FredrickMulla
Singer: FredrickMulla
Title: Legacy
Verse1
Sunset boulevard, how I make it here?
Niko Ambako where the sunset is
I’m gonna make it clear
Nikiondoka nitaacha Historia
I’m here
Natengeneza ndoto ambazo wengi wan#z#ona kama utopia
Nachofanya ni eternal hype
Staki external hype
Najenga ufalme hii ni Eternal life
Maisha ya milele after this
Na hii ni kwa hundo generations after this
Ndomana uvivu nimeutupa kwenye Inferno hype’s
Sitaki mchezo maana, nataka timiza ndoto ambazo mama alishindwa
Kutimiza, kuhusu ye Baada ya kupata mimba
Maana focus ilihamia kwa kitinda mimba
Ndomana kiti cha ufalmе ndio kitu na winda
Ka kiliibiwa Nataka kuWinback
Ile time inakuja yangu ya ku lean back
Chorus
Mi najеnga legacy yeah! Nikiondoka naacha new mark
Verse 2
Nimetoka Mtaa na ndoto za kuwa star
Wanangu kibao ndoto waliziacha bar
Nikachukua neno bar na kuanza kutema bars
Sahivi napeleka rap nzima beyond bars
All I need is green kama space Ya kericho
Mungu kanipa uwezo wa kuziangusha walls zaidi ya Kuta ya Jericho
I’m here and I’m ready
Nguvu ndani yangu itakuua if you ain’t ready
Nahitaji more ndomana nafanya more
Achana na Dewji, tuongelee more investments
Kuhusu maisha na Namna ya kupata placements
Ili kesho ukisepa no replacement
Born to be great
Ndomana na pambana kwa hii space
Njaa inanipa riba kwa kila Race
I’m blessed
Kwa kila place I’m in
Nafanya maajabu who’s best
Who’s next? I’m here
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Vladyxa - Друг
Saint Laurent - TOZ
Lyrics FredrickMulla – Legacy
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases