Ukaniumiza Lyrics – Haitham Kim
Singer: Haitham Kim
Title: Ukaniumiza
Sitaki mulika mwizi tena iwe kama jana
Hisia za mapenzi nilizama Nikaachwa na maji Ooh baby baby baby yoo
Ayaa yaa yaa baby yoo
Sijiwezi mwenzio Ayaa yaa yaa mwenzio
Mood ukija ukazikata ni kero
Kesi ikifika basata ni sero
Umeshanipa limbwata ni zero (kichwani zero kichwani zero)
Warida Waridadi ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa kama mfa maji
Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Una bidii nipe nyongeza
Masupidi moto koleza
Kwenye bed nabembelezwa mi yaya
Yani WiFi najiongeza
Sifikirii kukupoteza
Remote najibonyeza vibaya
Kwako sisemi NO
Usemacho ni funzo mi kwako nafwata
Nishajichimbia Shimo
Cha ajabu ni ngumu pumzi yangu ku kata
Warida Waridadi ushanipa mi midadi
Penzi ngurumo ya radi
Panapo Kosa basi ni judge
Maana mlenda wake magadi
Naogopa kutapa kama mfa maji
Basi Usije ukaniumiza (ukaniumiza)
Ukaja nawе danganyika (danganyika)
Basi Usije ukaniumiza ahh (ukaniumiza)
Ukaja nawe danganyika (danganyika)
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Baddlittle333kk - Panico
Insorhym - Mere Apne
Ukaniumiza – English Translation
I don’t want Mulika thief again as yesterday
Funny feelings I bothered I left with water Ooh Baby Baby Yoo
Aya yaa yaa baby yoo
I can’t partner ayaa yaa yaa
Mood coming off is a nuisance
The case comes to Basata is ser
You have given me a linen is zero (head zero zero)
Warida Walitani Gathering Mi Midadi
Radiation
Panapo error then is a judge
Meaning its ma mawadi
I am afraid to give as a water
So don’t get hurt me (you hurt me)
You came with you a confusion (District)
So don’t hurt me ahh (you hurt me)
You came with you a confusion (District)
You have to work to give me additions
Masupidi fire to develop
On the Bed Nabumbelezwa Mi Yaya
Yani WiFi I add
I don’t think you lose you
Remote najiBenylle
For you I don’t say No.
You say it’s a study mi to you Nachata
I drop the hole
Wonderful is hard my breath ku cut
Warida Walitani Gathering Mi Midadi
Radiation
Panapo error then is a judge
Meaning its ma mawadi
I am afraid to give as a water
So don’t get hurt me (you hurt me)
Come to the naw
So don’t hurt me ahh (you hurt me)
You came with you a confusion (District)
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Haitham Kim – Ukaniumiza
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases