Lyrics Kilimanjaro Band – GERE

GERE Lyrics – Kilimanjaro Band

Singer: Kilimanjaro Band
Title: GERE

Play “GERE”
On Amazon Music Unlimited (ad)
WIMBO…. GERE
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
Wananionea ya gere
Watausaga mtama na waubwie wenyewe
Nguo ya kuazima haisitiri mwili

Nguo ya kuazima haisitiri mwili
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
Yale niliyokuambia sasa yameshakufika
Fahari ee ndiye mama wa ujinga

Fahari ee ndiye mama wa ujinga
Wewe mtu wa mia wataka elfu nne
Dau lako la mia wataka elfu nne
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka

Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka
Umejisahau kapu la uyoga mjima ee
Huwa halibebi nyama
Wewe mtu wa mia wataka elfu nne

Dau lako la mia wataka elfu nne
Kitenge umeunguza mwenyewe anakitaka
Kitenge umeunguza mwenyewe ninakitaka
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

Wapita ukiringa na ukijitapa kwa kitenge changu mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Kitenge changu cha thamani nimekitoa mbali mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

Ninavyokithamini na kukihifadhi we wakifuja mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka
Kama unaweza tafuta cha kwako niache changu mwenzio
Yu yu yu naumia kitenge changu nakitaka

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
Unanionea ya gere utausaga mtama uubwie mwenyewe
Mama mkwe njoo nikuambie yaliyonikuta
Kwa mke mwenzangu

Kamwambie mume wangu
Anipe talaka badala yake ameachwa yeye
Yuko wapi kibiritingoma wenzangu
Katwanga mpunga

Amepeta pumba
Amepika wali kala mwenyewe
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
Gere mama yangu ee
Gere mama yangu ee
Ya ya yaya yaya yaya yayayaa

Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba

Iko wapi kibiritingoma wenzangu
Ametwanga mpunga
Amepeta pumba
Warumba chee (chee)

Warumba henya (henya)
Lete vitu
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama wananionea ya gere watausaga mtama waubwie wenyewe

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Unanionea ya gere
Utausaga mtama uubwie mwenyewe

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama yangu eeeee

Gere mama yangu ee
Ya ya yaya yaya yaya yayayaa
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba

Warumba mpo (tupo)
Sheba sheba sheba
Sheba sheba sheba sheba
Iko wapi kibiritingoma mwenzangu

Katwanga mpunga
Amepeta pumba
Warumba chee (chee)
Warumba henyaa (henyaa)

Lyrics by CHAMAZI MUSIC RECORD LABEL
Play “GERE”
On Amazon Music Unlimited (ad)
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Freddie Aguilar - Sa Paskong darating
Xanderr Monroe - Better Days

GERE – English Translation

Play “Gere”
On Amazon Music Unlimited (AD)
Song …. Gere
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
They see me Gere
They will grind the millet and make it themselves
The borrower’s cloth does not cover the body

The borrower’s cloth does not cover the body
What I told you now has arrived
What I told you now has arrived
Pride EE is the Mother of Stupid

Pride EE is the Mother of Stupid
You a hundred -thousand -thousands
Your MIA DIRECTION WANTS FOURTH FOUR
Kitenge you have burn himself he wants

Kitenge you burn myself I want
You forgot the mushroom shorts ee
It does not carry meat
You a hundred -thousand -thousands

Your MIA DIRECTION WANTS FOURTH FOUR
Kitenge you have burn himself he wants
Kitenge you burn myself I want
Yu Yu Yu Sain My Kitenge I Want

Passers -by and if you swear to my fellow Kitenge
Yu Yu Yu Sain My Kitenge I Want
My precious pie
Yu Yu Yu Sain My Kitenge I Want

I appreciate it and save it as they dismantle your partner
Yu Yu Yu Sain My Kitenge I Want
If you can find your own leave my partner
Yu Yu Yu Sain My Kitenge I Want

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
They see me gere they will grind the sorghum to make their own
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
You see me gere you will grind the sorghum and bother yourself
Mother -in -law come tell you what happened to me
To my wife

Tell my husband
Give me a divorce instead he’s left him
Where is my fellow Kibiritingoma
Rice rice

He has passed away
Has cooked the rice of himself
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama

Gere mama gere mama
Gere my mother ee
Gere my mother ee
Ya Yaya Yaya Yayayaa

Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba

Where is my fellow Kibiritingoma
He has hit the rice
He has passed away
Warumba Chee (Chee)

Warumba Henya (Henya)
Bring things
Gere mama gere mama
Gere Mama Gere Moms Moms See me Gere they will grind the sorghum to make their own

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
You see me Gere
You will grind the sorghum and bother yourself

Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere mama gere mama
Gere my mother eeeee

Gere my mother ee
Ya Yaya Yaya Yayayaa
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba

Warumba MPO (we are)
Sheba Sheba Sheba
Sheba Sheba Sheba Sheba
Where is my fellow Kibiritingoma

Rice rice
He has passed away
Warumba Chee (Chee)
Warumba Henyaa (Henyaa)

Lyrics by Chamazi Music Record Label
Play “Gere”
On Amazon Music Unlimited (AD)
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Kilimanjaro Band – GERE

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases