Lyrics MABANTU – Mwenye Nyumba

Mwenye Nyumba Lyrics – MABANTU

Singer: MABANTU
Title: Mwenye Nyumba

Samahani mwenye nyumba
Hela yako nitakulipa
Nimempeleka mama yangu hospitali anaumwa
“Wewe usifananishe kodi yangu na vitu vya kijinga

Kati ya nyumba yako na mama yako kipi muhimu?
Jagul, Jagul Nataka kodi yangu
Ehh bwana ey ey ey, nataka kodi yangu
Ng’ombe hamnijui eeh”

Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi
Kusema kweli mi ananikata

Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao

Au kuna boya kaniotea
Maana kila nachofanya napotea
Nitakulipa mwezi ujao!
Mbona nadata mshahara umeisha

Na sijaupokea (Mwenye nyumba!)
Jana kweli mmeposti
Vile vinoti vingi kwa pochi
(Nitakulipa mwezi ujao!)

Walahi siongopi, vile vinoti
Vya bwana bosi (Mwenye nyumba!)
Hivi mwenye nyumba ananipenda eeh
(Nitakulipa mwezi ujao!)

Au unanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Eti unanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)

Mwenzako nakupenda (Mwenye nyumba!)
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi

Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao

Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Eeh bana nauza feni, nauza jiko
Mwenzenu nimeishiwa kodi ya (Mwenye nyumba!)
Nauza godoro pia na subwofer

Nataka nikalipe kodi ya (Mwenye nyumba!)
Kodi yako inaisha lini?
Yangu kesho kutwa
Yako inaisha lini boshe

Kesho kutwa!
Kodi yako inaisha lini?
Yangu mwezi ujao
We yako inaisha lini jirani?

Mwezi ujao
Hivi mwenye nyumba hujanipenda
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Mwenzako nakupenda

(Nitakulipa mwezi ujao!)
We hujanipenda?
(Nitakulipa mwezi ujao!)
Mi nakupenda

(Mwenye nyumba)
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi

Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao

Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Eeh bwana namuogopa Mungu wanafuata wazazi
Nikimuacha bosi anafuata mwenye nyumba
Omba hii haki ya Mungu kufichwa kweli kazi

Kusema kweli mi ananikata
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao

Mwenye nyumba, nitakulipa mwezi ujao
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Sekumpulan Orang Gila - Sailors Of Sorrow
El Alfa, Tyga - Trap Pea

Mwenye Nyumba – English Translation

Sorry the householder.
Across your I’ll pay you
I sent my mother to the hospital is sick
“You don’t match my taxes and stupid things

Between your home and your mother important?
Jagul, jagul i want my rent
EHH EY EY EY, I want my tax
The cow don’t you know EEH ”

Eeh the Lord I fear God follow parents
If I leave the boss following the landlord
Ask this God’s right to hidden really work
Saying the Truth Mi me cut me

Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month

Or there is Boya Kanishea
For all I do I’m lost
I’ll pay you next month!
Why Nadata Rewards Expired

And I have not received it (the landlord!)
Yesterday actually mmeposti.
As many venators for wallets
(I’ll pay you next month!)

I don’t rule, such as Vunots
Of the Lord boss (the landlord!)
Thus the landlord loves me eeh
(I’ll pay you next month!)

Or do you love me?
(I’ll pay you next month!)
Do you love me?
(I’ll pay you next month!)

Your colleague I love you (the landlord!)
Eeh the Lord I fear God follow parents
If I leave the boss following the landlord
Ask this God’s right to hidden really work

Saying the Truth Mi me cut me
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month

Landlord, I will pay you next month
Eeh pinch I sell fan, I sell stove
Your fellow has lost a tax (landlord!)
I sell a mattress too with a subwofer

I want to pick up the tax (landlord!)
When does your tax end?
My tomorrow tomorrow
When does your boshe end

Tomorrow’s Tomorrow!
When does your tax end?
My next month.
When does your end?

Next month
Thus the landlord has loved me
(I’ll pay you next month!)
Your colleague I love you.

(I’ll pay you next month!)
WE ARE NOT LOVE ME?
(I’ll pay you next month!)
I love you

(Landlord)
Eeh the Lord I fear God follow parents
If I leave the boss following the landlord
Ask this God’s right to hidden really work

Saying the Truth Mi me cut me
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month

Landlord, I will pay you next month
Eeh the Lord I fear God follow parents
If I leave the boss following the landlord
Ask this God’s right to hidden really work

Saying the Truth Mi me cut me
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month
Landlord, I will pay you next month

Landlord, I will pay you next month
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics MABANTU – Mwenye Nyumba

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases