Tamba Lyrics – Mbosso
Singer: Mbosso
Title: Tamba
Verse 1:
Pasha maji weka moto’ tandika jamvi naja nyumbani
Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo’ futa la n#z# ujipare, honey
Na vijisabuni vya magadi’
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
Muunge tu’ nipe na chuzi na nyama yake
Eh’
Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo…)
Ye king’amuzi mi dishi lake
Hook:
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)
Kama afisa wa NIDA
Ooh..ohho…
Hook:
Tena’ Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)
Tamba…
Tamba…
Nakupa uwanja tamba
Tamba…
Tamba…
Warushe warushike roho zao
Tamba…
Tamba…
Wasokujua wakujue leo
Tamba…
Tamba…
Tamba mama lao…
Verse 2:
Nitalinda benki kwa rungu’ niaminie
Taka langu Mwana mvungu’ nainama mie
Wavunje n#z# na nyungu’ wajifushie
Oh my wangu atulinde atulinde Mungu’ yasitufikie
Nilishakumbwa na tsunami’ la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa
Penzi si la unyang’anyi’ peke yangu najilia na shiba na kusaza
Naka T.V kangu kana waka kuzima’ Nikupe
Naka simu kangu japo cha mchina’ Nikupe
Shika na moyo wangu nenda nao mazima’ Nikupe
Tuzaliwe Makkah tufie Madinah’ Nikupe
Hook:
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!)
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!)
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!)
Kama afisa wa NIDA
Ooh…ohho…
Hook:
Tena’ Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!)
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!)
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!)
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!)
Tamba…
Tamba…
Nakupa uwanja tamba
Tamba…
Tamba…
Warushe warushike roho zao
Tamba…
Tamba…
Wasokujua wakujue leo
Tamba…
Tamba…
Tamba mama lao…
Wasafi…
Hook:
Nishalinoa panga’ porini kukata mua
Mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
Nishalinoa panga’ porini kukata mua
Mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
Uu yeah yeah…
Uu yeah yeah yeah…
Nishalinoa panga’ porini kukata mua
*Mwana kaza kitanda’ usiku kuneng’emua
Nishalinoa panga’ porini kukata mua*
Aiyo aiyo aiyo yo aiyo…
La la la, la la la, la la la…
La la la, la la la, la la la…
Aiyo, Laizer
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Face da Morte - Coração de Mãe
Эйли - Океанами
Tamba – English Translation
VERSE 1:
Pasha Water Put fire ‘Tanda Jamvi Naja home
I brought you a gift, a register of credit ‘Coconut Coconut Umpare, Honey
And magades’
Ngles don’t give her the salty is her taste
Only join ‘give me and shy with her meat
Eh ‘
Eating goat is his rope (oh oo …)
Ye kinganguzi mi dishi
Hook:
Focus on Munasen (watch you say!)
Don’t think of trouble (watch you say!)
First we claim (watch you say!)
As a Nida officer
Ooh..ohho …
Hook:
Again ‘Doctor has come with a needle cure (Bring Nchomeke!)
Take care of the flame through the brackets (Bring Nchomeke!)
I am already ready for the fight (Bring Nchomeke!)
Tea falls asas today friction crazy (Bring Nchomeke!)
Tamba …
Tamba …
I give you a field tamba.
Tamba …
Tamba …
Reishes their spirits
Tamba …
Tamba …
They know to know today
Tamba …
Tamba …
Tamba their mother …
VERSE 2:
I will protect the bank with a club ‘trust me
My waste son wavin ‘ninama mie
Coconuties and Heaters’ Encourage
Oh my my will protect us to protect God ‘not to come to
I was hit by a tsunami ‘of love, and peace for you now
The love is not a robbery ‘alone I get with Shiba
Naka t.v kungi as wa ye wa kwenye ‘take me
Naka Call Japo Mchina ‘I give you
Hold my heart Go with them the whole ‘give you
Billed Makkah Tufie Madinah ‘give you
Hook:
Focus on Munasen (watch you say!)
Don’t think of trouble (watch you say!)
First we claim (watch you say!)
As a Nida officer
Ooh … ohho …
Hook:
Again ‘Doctor has come with a needle cure (Bring Nchomeke!)
Take care of the flame through the brackets (Bring Nchomeke!)
I am already ready for the fight (Bring Nchomeke!)
Tea falls asas today friction crazy (Bring Nchomeke!)
Tamba …
Tamba …
I give you a field tamba.
Tamba …
Tamba …
Reishes their spirits
Tamba …
Tamba …
They know to know today
Tamba …
Tamba …
Tamba their mother …
Clean …
Hook:
Nishulinoa sword ‘wild cutting
Son tighten the bed ‘at night to glimulate
Nishulinoa sword ‘wild cutting
Son tighten the bed ‘at night to glimulate
Uu yeah yeah …
Uu yeah yeah yeah …
Nishulinoa sword ‘wild cutting
* Son tighten the bed ‘at night to glimulate
Nishulinoa sword ‘wild cutting *
Aiyo aiyo aiyo aiyo …
LA la, la la la, la …
LA la, la la la, la …
AIYO, LAIZER.
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Mbosso – Tamba
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases