Lyrics Micjack – Waziwazi

Waziwazi Lyrics – Micjack

Singer: Micjack
Title: Waziwazi

O ye ye ye ye yeah
O ye ye ye ye ye
Ye ye ye ye ye
Me I’m crying for my love

Me I’m crying for my love
Maumivu yananitesa mapenzi mie kipenzi
Usinione tu mi ninatembea
Ila mi moyo nusu ushanich#moka

Nimebaki majivu napukutika nihurumie kipenzi
Usinione tu nilikupepea
Penzi nusu ndo maana ukanitoroka
Mmhh kwanini umejificha tusionane

Mie moyo wangu mie
Umebaki nne nusu ya nane eeehh
Mmhh kama ni penzi nalilinda kama commando
Na hakuna wa kupinga

Wakusema hata no
Sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
So baby naomba urudi tuongozanе
Kama ni geti nalilinda wasigonge hata ngo

Vijeti vya pinda unapanda una go
Sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
So baby naomba urudi tuongozane
Waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi

Ukanidhurumu yangu nafsi
Umeniacha mi na wasiwasi nambie
Kwanini waziwazi umeniacha mie moyo waenda kasi
Ukanidhurumu yangu nafsi

Umeniacha mi na wasiwasi nambie
Kama ni watu washasema mengi sana
Wenda mapenzi yetu yatakuwa ni majaribu
Gugu wangu umenibana

Mashinda kwenye game nakwaza tu we my boo
Katu mama we ndo wa maana
Kwa mwingine siwezi kupona tajiharibu
Moyo wangu ukianza achana

We ndo doctor nakuenzi so njoo lady unitibu
Ila kama ukinidharau (sawa)
Penzi langu ukaliweka dau (sawa)
Itaniuma sana

Na ukiniona kwako jau (sawa)
Yani ukaniletea unyang’au (sawa)
Itaniuma sana
Kama ni penzi nalilinda kama commando

Na hakuna wa kupinga
Wakusema hata no
Sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
So baby naomba urudi tuongozane

Kama ni geti nalilinda wasigonge hata ngo
Vijeti vya pinda unapanda una go
Sa kwanini leo unavimba unanikana ng’o
So baby naomba urudi tuongozane

Waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi
Ukanidhurumu yangu nafsi
Umeniacha mi na wasiwasi nambie
Kwanini waziwazi umeniacha mie moyo waenda kasi

Kwani shida yetu we na mi
Si bado yanakuaga ni mazoea
Nimekuzoeaga baby ahh
Na tena usije geuka blade

Ukanichana mwenzako nika dead
Aiyaaah
Ooh mmhh iyeiyeiye
Waziwazi umeniacha mi moyo waenda kasi

Ukanidhurumu yangu nafsi
Umeniacha mi na wasiwasi nambie
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Maiky Blinks - Ginąc w morzu świateł
Sondre Justad - En anna mæ

Waziwazi – English Translation

O ye ye ye yeah
O Ye Whoever
Whoever
ME I’M CRYING FOR MY LOVE

ME I’M CRYING FOR MY LOVE
The pain is inayotesa will mie pets
Don’t just see me mi I walk
Save Mi Heart Half

I have left the ashes I have to mercy pets
Don’t see me just got you for you
Half of the pennation mean you escaped me
Mmhh why you hid not see

My heart mie mie
Have left four half an eeehh
Mmhh if it’s love i protect it as commando
And no counterpart

They say even No.
SA Why Do You Know You Cry Away
SO BABY I’m going back to iBadenе
If it’s gei i protects them not even

Pinda Scores rise you have a go
SA Why Do You Know You Cry Away
SO BABY I’m going back to lead
Openly left me heart going faster

My self-sufficiency
You left me with a worrying me
How clearly you left me the heart going faster
My self-sufficiency

You left me with a worrying me
As are people to say so much
Our will will be temptation
My weed has created me

The bumps on the Game Just let me my boo
Mama Mama Mean
To another i can’t recover a guy
My heart began to leave

WE ABOOK DOCTOR NAKUENZO SO COME LADY COMPLETE
Except if you disregard me (same)
My love put the Dau (OK)
It will kill me so much

And if you see me Jau (OK)
Yani brought me a robber (equivalent)
It will kill me so much
If it is a glimpse I protect it as a commando

And no counterpart
They say even No.
SA Why Do You Know You Cry Away
SO BABY I’m going back to lead

If it’s gei i protects them not even
Pinda Scores rise you have a go
SA Why Do You Know You Cry Away
SO BABY I’m going back to lead

Openly left me heart going faster
My self-sufficiency
You left me with a worrying me
How clearly you left me the heart going faster

For our trouble we and mi
Not yet shapes are practices
I have been familiar with Baby Ahh
And no longer do not turn the blade

Shipping your colleague Nika Dead
Aiyaaah.
Ooh mmhh iyeiyeye.
Openly left me heart going faster

My self-sufficiency
You left me with a worrying me
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Micjack – Waziwazi

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases