Malipo Lyrics – Otile Brown
Singer: Otile Brown
Title: Malipo
Ujumbe nimeusoma
Na salamu nimezipokea
Nami mzima wa afya nashukuru
Ila hali bado ngumu
Lakini bado sija kata tamaa
Kwenye juhudi na ndoto zangu
Ulio dai kuwa ndogo
Nimekubali matokeo
Na naelewa sababu zako za kuniacha
Kwa hilo sita kuhukumu
Kinachoniuma
Kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki wewe
Kinachoniuma
Hivi mmenicheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Umasikia wangu unaniponzaa
Hewalah!
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nimesahau jina lako…
Sikumbuki Mie !
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nisha sahau ata sura yako
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga mama , umenivuruga
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga
Kinacho niuma kutoka rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki we!
Oh ooh
Kinachoniuma
Hivi mmeni cheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
AxelWolf - Chanel
Pablø Anton - Amor & Odio
Malipo – English Translation
The message I read
And the greetings I have received
I am a healthy whole
Except the situation is still difficult
But I still haven’t been disappointed
On my efforts and dreams
You have claimed to be small
I have accepted the results
And I understand your reasons to leave me
To it six to judge
What hurts me
From with my sincere friend
Despise me and make fun of you
What hurts me
How many times have you stated me
In front of my eyes without knowing
Malii payment
It’s here on earth
I do not pray for evil
But I hate you
Malii payment
It’s here on earth
I do not pray for evil
But I hate you
You hear me pull me away
Healah!
Oh ooh
And if you want to know how I hate you
I forgot your name …
I don’t remember mie!
Oh ooh
And if you want to know how I hate you
Nisha forget about your shape
The wound you left me mi I don’t think I will like it again
You have disturbed me, you have disturbed me
The wound you left me mi I don’t think I will like it again
You have disturbed me
What hurts from my sincere friend
To despise me and make fun of me!
Oh ooh
What hurts me
How many times do you cheat
In front of my eyes without knowing
Malii payment
It’s here on earth
I do not pray for evil
But I hate you
Malii payment
It’s here on earth
I do not pray for evil
But I hate you
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Otile Brown – Malipo
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases