Kamili Gado Lyrics – Professor Jay
Singer: Professor Jay
Title: Kamili Gado
Nakucheck, check, check kila kona
Bara mpaka pwani bado sijakuona
Moyo wangu unauma mie, japo nikuone mi nitapona
Nimekwenda hospitali, mbali-mbali wanadai dawa yangu ni wewe
We ndo wangu daktari, sitapona, sitaishi tafadhali nielewe
Bado napenda kuishi bado nataka kuishi
Nionee huruma mwenzio (eh)
Nitibu hata kwa kiss, naishi kitatanishi mpaka useme ndio (eh)
Unavyokatika, katika zungusha, zungusha juu mpaka chini mi nabaki hoi
Unapo tingisha, tingisha binuka, binuka, back and forth mi nabaki hoi
Ma, unang′aa kistaa, kukuona ni adimu kama nyota ya jaha
Unasifika kila kona ya mtaa, njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa
Dah, naahidi kukupenda cause nakupenda
Haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda
Twende wote popote unapokwenda, nakiri mimi
Mateka na kwako nime-surrender
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, Kamili gado
Watu wengi wanishangaa, kwa nini kila siku mi sina raha?
Afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose furaha
Wana sema nimechizi, wana sema nimenock
Wana sema sema usiku wata lala
Njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknock tuwatoe kafara
Furaha yangu ni wewe, maisha yangu ni wewe
Fikra zangu ni wewe tuu
Ndoto yangu ni wewe, maisha yangu haya hayana na tamani bila wewe tuu
Natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na maisha yote
Ili twende nikutambulishe nyumbani, kwa kuwa una sifa zote
Nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na maisha yote
Mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na milele yote
Ah, you the one and only, sina nia ya kuzingua niamini shorty
Usishangae wakinyoosha vidole
Wanadhani uko Single wabadili story
We ndo wangu wife material, uzuri na tabia zinafuta changu kilio
Ado, ado mambo bado wape kisago, mtoto upo kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Usi-niache mi (eh), usi-niache mi
Usi-niache mi (eh), usi-niache mi
Ukiacha peke yangu na mawazo nakonda
Usiache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda
Iye, eh, eh (iye, eh)
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Mtoto iko kamili gado, kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Mtoto iko kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili gado
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Nakupenda we, mi nakupenda wewe
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili, gado
Kamili gado
Kamili, kamili, kami, kamili, kamili, gado
Kamili gado
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
Matter - Favela
XOLVL - +core
Kamili Gado – English Translation
Nakucheck, check, check every corner
Continent to the beach I still haven’t seen you
My heart hurts, though I see you mi I will recover
I’ve gone to the hospital, off-wide they claim my medicine is you
We are my doctor, I will not recover, I will not live please understand me
I still like to live still I want to live
SHOW ME SHOULD MEAN (EH)
I treat it even with a kiss, I live in conflict until you say yes (eh)
As you break, in the rotation, rotate up to the bottom and stay hoi
When you shake, shoot, Binuka, back and forth mi Nabaki Hoi
Ma, unang′aa kistaa, to see you are rare as a jaha star
You are praised in every corner of the street, come to me to treat me to survive
Dah, I promise to love you Cause I love you
These thoughts that I will do you I won’t do
Let’s go all wherever you go, I confess me
Captives and to you nime-surrender
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
Baby is full of gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
Many people surprised me, why don’t I every day have no fun?
You better win hunger, than your life.
They say I have left, they say Nimenock
They say say the night they will sleep
Come around me let us give you a hug, the people to sacrifice you sacrifice
My happiness is you, my life is you
My thoughts are you just
My dream is you, my life is not desired without you
I wish one day to be with me, for happiness and all life
So that we can go to the home, as you have all the qualities
Accept me to be my neighbor, all day and all life
Our will burn opponents, always and forever all
Ah, you the one and only, I have no intention of reluctant to believe me shorty
Don’t be surprised when they stretch your fingers
They think you’re single change the story
We my Book Wife Material, Beauty and Character Display My Cry
Ado, Ado Things Still Give Them, The Baby Is Full Gado
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
Baby is full of gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
Do not — Leave me mi (eh), do not — leave me mi
Do not — Leave me mi (eh), do not — leave me mi
If you leave alone with thoughts I
Don’t give up
If you leave me alone with thoughts I
Hey, eh, eh (hey, eh)
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Baby is full gado, complete gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
Baby is full of gado
Complete, complete, kami, complete, complete gado
I love you, mi love you
I love you, mi love you
I love you, mi love you
I love you, mi love you
Complete, complete, kami, complete, complete, gado
Complete, complete, kami, complete, complete, gado
Complete, complete, kami, complete, complete, gado
Complete, complete, kami, complete, complete, gado
Full, Gado
Full Gado
Complete, complete, kami, complete, complete, gado
Full Gado
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics Professor Jay – Kamili Gado
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
https://www.youtube.com/watch?v=bE8gDNjWy-0