Lyrics Raptor Da Chronic – Nasheed

Nasheed Lyrics – Raptor Da Chronic

Singer: Raptor Da Chronic
Title: Nasheed

Intro
Ewe nafsi ndani yangu
Nihurumie mwenzangu
Udhaifu mwili wangu

Mbele ya mwenyewezi mungu
Nauogopa ulimwengu yasinifike
Machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia
Outro

Kanitangulia mamangu
Mebaki na ndugu zangu
Awalinde bwana mungu
Itakapofika kwangu

Nauogopa ulimwengu yasinifike
Machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia
Chrous
Allah ya wadudi

Mja wako nihurumie
Wewe ndiye swammadi
Mola wangu niridhie
Imefika ahadi yako kwako nikurudie sakarati ya mauti dunia naikimbia

Zanibana pumzi nashindwa kuvumilia
Haikuwa nia yangu hapa kufikia
Hukuuona wema wangu siku kunihisabia
Yabaki machungu moyoni naumia

Kumbuke hukuwa mkweli fitina kunitilia
Wanikatae wazee familia kuikimbia
Sakarati ya Mauti Dunia naikimbia
Kanitangulia mamangu

Mebaki na ndugu zangu
Awalinde bwana mungu
Itakapofika kwangu
Nauogopa ulimwengu yasinifike

Machungu sakarati ya mauti dunia naikimbia
Yanitoka machozi kweli nikisimulia
Inanisuta nafsi yangu kwa haya machache
Mwili umekonda kwa mawazo

Nauguza kidonda yeye ndiye chanzo
Walimhusudu Mamangu leo nawaambia
Nawapa husia Rafiki chagueni
Wapo wenye husuda

Wapo wazuri
Wapo waamini tena watiifu
Usingoje kuambiwa wewe jionee
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
ФЛЭЙ ДЭФФ - G1VE
LIM LALI - Интро

Nasheed – English Translation

Intro.
O soul in me
Mihurumie my partner
My body weakness.

In front of a God
I fear the world yasijifike
The bitter sausage of the world I run away
Outro.

Give me my mother
Meba and my brothers
Protect the Lord God
When it comes to me

I fear the world yasijifike
The bitter sausage of the world I run away
Chrous.
Allah of Wadudi.

Your servant me mercy
You are Swammadi.
My Lord is helpful
Has come your promise to you to return to the world of death I run away

Zanibana breath fail to endure
Was not my intention here to achieve
You haven’t seen my goodness the day
Remain hurt in heart

Remember you are not honest fitina me
Cut me the elderly family to flee
Sakati of Death World I run away
Give me my mother

Meba and my brothers
Protect the Lord God
When it comes to me
Nauogopa world yasinifike

The bitter sausage of the world I run away
Falleth from me really tears me tell
Inanisuta myself to these few
The body is lean for thought

Nauguza sore he is the
I tell my mother today Walimhusudu
I give you choose for sia Friend
They are the envy

There are good
There are no more obedient believers
Do not wait to be told you look for themselves
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics Raptor Da Chronic – Nasheed

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music or Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases