Lyrics SABAH SALUM – Munani nami viumbe

Munani nami viumbe Lyrics – SABAH SALUM

Singer: SABAH SALUM
Title: Munani nami viumbe

Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Salamu nimezipata ulotuma kunambia
Nasikia wajinata Leo utanitambia
Lakini utanikuta Sabaha nakungojea

Lakini utanikuta sabaha nakungojea
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Wewe kuku wewe kuku chakula chako jaani
Mimi njia mimi njiwa huletewa mikononii

Kama hujui uliza mimi nawe bora nani
Kama hujui uliza mimi nawe bora nani
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mahali ukichukizia huzuka kila mazuo
Mahali ukichukiza huzuka kila mazuo

Huzidi na miujiza kusudi uvunjwe cheo
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao
Japo wajipendekeza katu huwi mtu kwao
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Ni bure hamunipati mbio mukaniendea

Ni bure hamunipati mbio mukaniendеa
Mtakufa na laiti uku mkinishuhudia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia
Nimewashinda bahati ndipo mkanichukia

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbе mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Dunia yetu ya leo si ya watu kusemana
Kila alie na lake aombe Rabbi salama
Kama langu limetota na lako wewe litazama

Kama langu limetota na lako wewe litazama
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Mtu akitaka sema kwanza hutizama lake
Akazunguka na nyuma kutizama yalokwake

Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake
Hainuki kusimama kutangaza ya mwenzake
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu
Mwafanya muyatakayo mimi sisemi ya mtu

Yangu yafata mbio komeni roho za kutu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu
Kwanza safisheni nyoyo kisha mseme ya watu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza

Sijali mimi sijali maovu mkinitangaza
Ni mambo tangu akali si mwanzo kujitokeza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza
Najua msema kweli kwa wengine huchukiza

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Nina neno ndugu zangu nawaeleza sikizeni
Kutangwa jina langu kwa uzushi mtaani
Hamnitii machunguu walakwangu si magenii

Hamnitii machunguu walakwangu si magenii
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Ukitaka jenga nyumba ukajengee mjini
Nadirisha na dirisha ulielekeze kusini

Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini
Hauna nywele kichwani sasa chanuo la nini
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu

Munani nami viumbe jamaa mwapita mwanilaumu
Munani nami viumbe mwapita mwanilaumu
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
LSO - Rap ultimate
Yukenn - Guap

Munani nami viumbe – English Translation

Greetings I have found you send
Greetings I have found you send
I hear the Wajinita today will tell me
But you will find me Sabaha I wait

But you will find me Sabaha I wait
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me

Munani and the beeth of passing me
You chicken you chicken your meal
You chicken you chicken your meal
I the way i dove gets heavy ones

If you don’t know how much you ask me
If you don’t know how much you ask me
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me

Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me
Place you hate each of the mazuo
Place ugly offsets every mazuo

Exceeds miracles purpose to be exposed to rank
Although they mate the man to them
Although they mate the man to them
Munani and the beeth of passing me

Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me
It’s free Hamuniupati running me

It’s free Hamuniupati running Mukaniendеa
You will die and if you witness me
I have won luck then you hated me
I have won luck then you hated me

Munani and the beeth of passing me
Munani I will viumbе pass me
Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me

Our world today is not of people saying
Our world today is not of people saying
Each Alie and Lake Safe Rabbi
If my has gone with your you look

If my has gone with your you look
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me

Munani and the beeth of passing me
If someone wants to say first looks at his
If someone wants to say first looks at his
Went round and back to look at the yalokwake

Highs to stand the announcement of a colleague
Highs to stand the announcement of a colleague
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me

Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me
Do what you want me not saying someone
Do what you want me not saying someone

MY COMPLETE RAMING COMMISSIONS
First Clean the hearts then say people
First Clean the hearts then say people
Munani and the beeth of passing me

Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me
I don’t care I don’t care for evil messages me

I don’t care I don’t care for evil messages me
Are things since he is not beginning to emerge
I know the truly saying to others offensive
I know the truly saying to others offensive

Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me

I have the word my brothers tell you to sit
I have the word my brothers tell you to sit
Extended my name for the local phenomenon
You do not obey me the lessons are not angry

You do not obey me the lessons are not angry
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me
Munani I am a relatives that pass me

Munani and the beeth of passing me
If you want the house to build in the city
If you want the house to build in the city
Nudish and window checked south

Don’t have hair on the head now Chanuo what
Don’t have hair on the head now Chanuo what
Munani and the beeth of passing me
Munani and the beeth of passing me

Munani I am a relatives that pass me
Munani and the beeth of passing me
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net

Lyrics SABAH SALUM – Munani nami viumbe

Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.

We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂

You can purchase their music thru 
Amazon Music  Apple Music
Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases

https://www.youtube.com/watch?v=RS2wcFEqC6E