Niacheni Nijivune Lyrics – SABAH SALUM
Singer: SABAH SALUM
Title: Niacheni Nijivune
Imeandikwa na baraka b mkande
Niacheni nijivune huu ni wakati waangu
Achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
Niacheni nijivune huu ni wakati waangu
Achukiaee anuneee hii ni bahati yanguu
Sina shida ya mwengineee simuachi mpenzi waanguu

Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini

Nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
Nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
Nimemshika imaraa kufurkuta hawezii
Nimemponza fikiraaa amelove kwa mapenzi
Hapati la kumkeraa nampa mema malezii
Hapatii la kumkera na mpa mema malezii
Hapati la kumkeeraa nampa mema malezii
Hapatii la kumkera na mpa mema malezii
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Ohhoooo hh mhhhhhh
Mnanichukia buree kupendwa ni damu yanguu
Mutavimba mujikeree naringa na sawa yaangu

Mtakufa kwa kiheree alienipa ni Mungu
Mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu
Mtakufa kwa kiheree alienipa ni Mungu
Mtakufa kwa kihere alie nipa ni munguu
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Ohhoooo hh mhhhhhh
Pendo letu hili gumu wenyewe tunalienzii
Mwataka kulihujumuu pendo life kipuuzi

Bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
Bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
Bure mtajipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
Bure mta jipa sumu mfe ovyo kwa simanzi
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Mtunze nyooyo zituue mahasidi sikizaani
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Twapendana mimi naeee nyinyi yawauzi nini
Hey hey
Chezea nzanibar one we
Wa toto wa mc nuhu
Wanamuita mariamu juma
Sambamba na fatuma jaku
Pamoja na mama lao
Sabaha mwiichacho
Aah raha hizi tamu zinapatikana
Channel ya baraka b mkande
Siachi niliposhika kwa pendo nimeshafika
Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaa
Minasema kwa hakika nampenda kweli kweli
Huyu anipagawisha amneirusha akili
Mnaotakaniachisha hapa dili limefeli

Msiopenda niwe nae mbona mnajipa dhiki
Baby nitadumu nae kumbi kumbi sibanduki
Tena mnichukie wallah sibabaiki

Waja mnaokerekwa ni bure mnasumbukaaaaaaaaaa
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
JAE HUN - FALL AWAY
Laing - Nein
Niacheni Nijivune – English Translation
Written by a guard b blessing
Leave this nijivune is when the little children
Anuneee Achukiaee this is no yanguu

I have no trouble mwengineee a partner muachi the mountaintop

Take care Yooyo zituue goblins do kizaani

Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Nimemshika rigid kufurkuta the wezii
Nimemponza fikiraaa has love for love
Nimemshika rigid kufurkuta the wezii
Nimemponza fikiraaa has love for love
She does not get the good I give kumkeraa malezii
Hapatii of annoy him and gave good malezii
She does not get the good I give kumkeeraa malezii
Hapatii of annoy him and gave good malezii
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Hh Ohhoooo mhhhhhh
Mnanichukia buree loved it blood yanguu
Mutavimba mujikeree naringa and similar yaangu

You will die for kiheree he enipa is God
You will die with me cry here is munguu
You will die for kiheree he enipa is God
You will die with me cry here is munguu
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Hh Ohhoooo mhhhhhh
Our love this difficult ourselves lienzii
Kulihujumuu ye love life silly

Free will feign formed die disposal for sadness
Free mta feign formed die disposal for sadness
Free will feign formed die disposal for sadness
Free mta feign formed die disposal for sadness
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Take care Yooyo zituue goblins do kizaani
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Twapendana I naeee what you yawauzi
Hey hey
We played one nzanibar
Toto of the mc’s
They call Mary week
Compatible with Grace jaku
With their mother
companion mwiichacho
Aah these sweet pleasures available
Channel of blessing b and protect
Siachi I clung to the love I have already been
Devotees who are free are sumbukaaa kerekwa
They say for sure I love really
This anipagawisha mind amneirusha
Mnaotakaniachisha here dili test failed

Msiopenda me to him why you feign distress
Baby Concert halls will last him a banduki
Again mnichukie wallah I babaiki

Devotees who are free are sumbukaaaaaaaaaa kerekwa
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
Lyrics SABAH SALUM – Niacheni Nijivune
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru or Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
https://www.youtube.com/watch?v=JXiuCviaUho