Uli Switch Lyrics – Sauceboiz
Singer: Sauceboiz
Title: Uli Switch
[Chorus: linkyonwaves
Joh uli switch
Ultaka mullah kunitokaa juu ya dick
Now uko solo una lia uko pissed
Me niko fiti niki saka hizo mill
Sijai lala njaa me hupata meal
Ultaka mullah kunitokaa juu ya dick
Now uko solo una lia uko pissed
Me niko fiti niki saka hizo mill
Sijai lala njaa me hupata meal
[Verse 1: linkyonwaves
Okay alright, okay alright
Wana bonga sana, wana bonga more
But wanaji tenga tuki bonga doh
DM pale IG ina over flow
Wana uliza kwani sauce si ni nani
Napenda bag zangu zikijaa maganji
Na usi switch hizo ni tabia gani
Ukinitoka nita lia kama manzi
Killer, killer oh killer, killer
Si nimekudedi nime jipa jipa
Killer, killer oh killer, killer
Si nimekudedi nime jipa jipa
[Chorus: linkyonwaves
Joh uli switch
Uli taka mullah kunitoka juu ya D
Now uko solo una lia uko pissed
Me niko fiti niki saka hizo mill
Sijai lala njaa me hupata meal
Uli taka mullah kunitokaa juu ya dick
Now uko solo una lia uko pissed
Me niko fiti niki saka hizo mill
Sijai lala njaa me hupata meal
[Versе 2: linkyonwaves
PapizZing
Drip forever, looku ni fisa looku ni clеan
Nikipiga mboka kama kawa ni ku win
Style yangu si free and never will be
Nyi mkisaka kiki, me na piga mziki
Dame aki enda missing jua ana pigwa miti
Sitambui mbwakni nikiflex mali authentic
Wengi wana degree na bado hawana kazi
Na wenye zero degrees wana andika wa masters kazi
No cap mi Huwa na code
Majina, sitaji
Una chocha best rapper wako hana kipaji
Zake ni kuforce kuchochwa na mbogi
Sitambui razzi, sitambui butty
Sitambui shokde maana mi naifanya saa hii
Find more lyrics at lyrics.jspinyin.net
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases
Other Popular Songs:
2NP - Trening
grupo extra - te perdí
Lyrics Sauceboiz – Uli Switch
Kindly like and share our content. Please follow our site to get the latest lyrics for all songs.
We don’t provide any MP3 Download, please support the artist by purchasing their music 🙂
You can purchase their music thru Disclosure: As an Amazon Associate and an Apple Partner, we earn from qualifying purchases