Lyrics KIZAZI SANA GANG – SAKA DOO

SAKA DOO Lyrics – KIZAZI SANA GANG

Singer: KIZAZI SANA GANG
Title: SAKA DOO

Verse 1: Dantez
Am looking for money natafuta pesa life Iko funny ndo maana natesa Sina haraka ntakuja kalesa, lewa muziki na beat ndo chaser walivouliza Niko vipi? Nikawajibu kabisa, huku umeshika mavisa kwenda sokoni kusaka mapesa pesa sa nipe ‘hi’ Niko fiti nikupe kidole Cha rasa, nimerudi inakaa niliondokaga kalesa Lesa super hero wa mabinti kusaka mavumba na tas Niko zangu kisiwani nakunywa kasupu ka pweza na kasa vile na napenda muziki, takwenda kumuona basata, takwenda na kuku ju kuku ni ndege na kule watu hula Bata, am looking for money najua ntapata,tafuta Doo sichoki kusaka, mkitaka flow najua ntawapa mkali wa flow najua nko hapa!

Read more